Gemu hii inatupeleka enzi za mashine bomba zikiwa na miti ya matunda. Inakuja kwetu ikiwa imetoka kwa Pragmatic Play ambao ni watengenezaji wa gemu hii. Hii Super Joker ina kila kionjo cha gemu za aina hii katika kasino pendwa duniani kote kwa miongo na miongo, wakati machaguo mawili ya kisasa yamewezeshwa leo. Ni vionjo vya “Respin Until You Win” pamoja na “Double Multiplier Wheel” vinavyopelekea malipo kuwa ni mara 1,500 ya dau lako.
#super joker #bonasi ya kasino mtandaoni # wheel of fortune #vizidisho #sloti ya matunda #matunda #jokeri
Super Joker, Pragmatic Play

Hii sloti ya video ya Super Joker ina milolongo mitatu na mistari mitano ya malipo. Ushindi unapatikana katika alama tatu za aina moja au katika muunganiko na alama ya wild, ni katika mstari wa kutoka kushoto kwenda kulia. Gemu inalipa sana na ina uhakika (RTP) wa 96.52%.

Muuundo wake ni rahisi, kama sloti bomba za tunda. Kinachoitambulisha gemu hii katika karne ya 21 ni muonekano wa ziada pale juu, ambapo miunganiko ya ziada na gurudumu la kizidisho linaonekana. Nyuma kuna rangi za kama kwenye disko kuboresha muonekano wa gemu, na sauti ya muziki wakati unacheza inatukumbusha zile sloti za kizamani sana, ambapo inakuongezea hamu zaidi ya kucheza.

Kwenye miinuko utakutana na alama za kawaida: kibao cha mara mbili na cha mara tatu na miunganiko ya miti ya matunda. Zinafuatiwa na nyota, kengele na dhahabu. Alama ya Jokeri ya gemu hii ni mhusika wa jina kama hilo hilo (Jokeri). Inachukua nafasi ya alama zote za malipo na inalipa mkeka kwa x15 wakati tatu za aina moja zinawekwa kwenye kichanja.

Kwa kuongezea, katika wakati wa kucheza ambapo unaona kabisa ni nzuri mno na inavutia, unaweza kutegemea kuona mambo ya kisasa yaliyopo, ambapo itakupa wewe nafasi ya kupumzika kidogo. Katika mzunguko wowote, kitufe cha “Respin Until You Win” kinachagizwa wakati unapoangusha pea mbili za alama kwenye mlolongo wowote, bila ya kuhusianisha alama kwenye mlolongo wa tatu. Ushindi unaweza kuwa ni muunganiko wa ile ya kawaida na alama ya wild. Gemu itakuzawadia idadi isiyopimika ya mizunguko mpaka utakaposhinda.

Super Joker Online Slot

Shinda mpaka 1,500 zaidi ukiwa na Super Joker!

Endapo alama sahihi inatokea katika kioo chote, tunakuja kwenye ile hali ya kuwa “Double Multiplier Wheel” inafanya kazi. Gurudumu la hazina (wheel of fortune) linatokea juu ya kioo na inaweza kutoa nafasi kwa vizidisho kuanzia kile cha x2 mpaka x5 au kufikia juu ya mshale. Itakiwasha kigurudumu cha pili ambacho kinakuja na kizidisho kikubwa kutoka x7 mpaka x20. Kioo chote cha alama ya wild chenye kizidisho cha x20 kitapewa nafasi ya malipo makubwa zaidi, dau lako kwa x1,500.

Sloti hii ya video inaunganisha machaguo ya kisasa na yale yaliyo bomba sana ya sloti, hivyo inakuwa inafurahisha sana na inavutia kuicheza.

Maelezo ya kuhusu sloti zingine za video yanaweza kupatikana hapa.

6 Replies to “Super Joker – matunda ya juisi yakiwa na vizidisho vitamu sana!”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Kasino Bora
5.0 rating
Meridianbet Casino: Pata mizunguko 50 BURE + Bonasi 5% ya Muamala Ulioweka