Endapo unatafuta gemu ambayo itakupa burudani ya aina yake ikiwa na vitu vya katuni ambapo kuna zile tamaduni bomba za Kichina basi hii Money Mouse ni gemu mahsusi kwako wewe, kwa sababu inajumuisha mambo yote hayo yanayoburudisha. Baada ya kuzingatia viumbe wote kutoka kwenye unajimu wa Kichina sasa watengeneza gemu waitwao Pragmatic play wameamua kumfanya panya awe ni mhusika mkuu wa sloti hii ya video.

Kiumbe huyu mdogo sana anavishwa uhusika wa uvivu katika ufalme. Money Mouse ni gemu ambayo ina mtindo wa katuni, ikiwa na tamaduni kubwa za Kichina. Sloti hii ya video ina milolongo mitano na mistari 25 ya malipo.

#Money Mouse #bonasi ya kasino mtandaoni #katuni #utamaduni wa china #mizunguko ya bure mtandaoni

Money Mouse

Money Mouse

Panya ni alama ya wild ya gemu hii na inachukua nafsi zote isipokuwa ile ya scatter na alama ya pesa. Mti wa pesa ni scatter ya gemu hii na inaweza kutokea katika mlolongo mmoja, mitatu na mitano. Endapo alama tatu kati ya hizi inaangukia katika milolongo basi mzunguko wa bonasi utajianzisha na unaweza kuzawadiwa mizunguko mitano ya bure mtandaoni.

Wakati wa mzunguko hii ya bure milolongo miwili, mitatu na minne itajitokeza na kugeuka kuwa ni mlolongo mmoja mkubwa. Endapo ukimudu kukusanya angalau mitatu ya scatters zaidi wakati wa mzunguko wa bonasi au mmoja kwenye mlolongo mkubwa ambao ni mpya basi utapokea mizunguko mitatu ya ziada bure. Money Mouse inakuletea wewe jakpoti kubwa!

Taa ya Kichina ni alama ya pesa na inawakilishwa kwenye ngazi zote zilizopo. Kwa kila mzunguko, taa ya Kichina inachukua thamani fulani ya pesa. Wakati ukikusanya taa hizo za Kichina zipatazo sita au zaidi kile kitufe cha “Money Respin” kitazinduliwa. Wakati chaguo la money respin linazinduliwa alama ya kawaida itapotea na taa pekee za Kichina na nafasi wazi zitasalia pale.

Unaanzisha kitufe hiki ukiwa na mizunguko mingine mitatu tena. Alama zote za ushindi za taa za Kichina zinabakia kwenye kioo mpaka mwisho wa mzunguko. Kila mara angalau taa moja itaangukia sehemu husika, idadi ya mizunguko mingine itabadilishwa na kurejeshwa kuwa ile ya mwanzo.

Mzunguko wa bonasi unadumu kwa muda mrefu kadri ambavyo kitufe cha mzunguko mwingine kinapoanza tena au mpaka alama zote zilizo wazi zinapojazwa na taa zilizopo. Endapo unamudu kujaza sehemu zote kumi na tano zikiwa na taa basi utajishindia jakpoti kubwa.

#Money Mouse #bonasi ya kasino mtandaoni #jakpoti kubwa #utamaduni wa kichina

Jakpoti ya Money Mouse! Shinda zaidi ya mara 2,500!

Jakpoti ya Money Mouse! Shinda zaidi ya mara 2,500!

Uhakika (RTP) wa sloti hii ya video umewekwa kuwa ni 96% na sloti hii ina malipo mazuri ya kiwango cha kati na kiwango cha juu kabisa. Kiwango cha juu cha malipo kinakwenda mpaka mara 2,500 ya mkeka wako. Mhusika wa Money Mouse ni kitu fulani ambacho si cha kawaida na hatujawahi kukiona hapo kabla.

Alama zingine zilizo maarufu hapo ni: karatasi za taa, miti ya pesa, madragoni, viwasha moto na ngoma… endapo wewe ni shabiki wa gemu za utashi wa Kiasia basi hili ni chaguo lako sahihi kwa kuzungusha na kufurahia sana! Money Mouse – mkusanyiko sahihi wa katuni, burudani, dhamira kubwa na uhondo mnono sana.

Unaweza kutazama maelezo mengine ya gemu za jakpoti hapa.

5 Replies to “Money Mouse – mkusanyiko wa katuni na burudani!”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *