Ingia katika gemu ya sloti ambayo inaburudisha sana kutoka kwa wasambazaji mahiri waitwao Microgaming. Sloti ya video ya kupendeza ya La Rouge imetokana na hadithi za enzi za sinema za huko Hollywood. Sloti ya video ya La Rouge inakupeleka wewe miaka ya arobaini na kukupatia nafasi ya kufurahia mazingira ya sinema.

Ni muhimu kutaja kwamba sloti hii ya video ambayo ni maarufu sana imejawa na bonasi! Upande wa nyuma yake katika sloti hii kuna muonekano mweusi na mweupe wa mitaa ya jiji, imekamilika kwa kuwa na sehemu ya kupata chakula na vinywaji pamoja na Rick’s Bar. Kwa pembeni yake kuna ukumbi. Ndani ya ukumbi ni kuzuri na kumepambwa kwa madoido kibao. Sloti ya La Rouge inavutia sana kwa sababu ya munekano wake usio wa kawaida na kwa sababu ya vitufe vya bonasi ambavyo vimo ndani yake.

Wateja wanajaribu kumsaidia mpelelezi wa kujitegemea. Gemu imepangiliwa kuwa katika milolongo mitano na safu tatu pamoja na mistari ishirini ya malipo. Kitu kikubwa hapa ni kuwa sloti ya video ya La Rouge ina gemu ya bonasi ya muendelezo, bonasi ya mizunguko ya bure, kizidisho na vionjo vingine baab kubwa.

https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/micro-gaming/laRougeDesktop

La Rouge, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Alama ni nyekundu na nyeusi kukiwa na mwangaza juu yake, inakupatia raha ya ziada. Alama za upelelezi na nyota wa kike wa muvi inakuongoza wewe kwenye hadithi hii. Zimesindikizwa na alama za rekodi za vinyl, rundo zuri sana la maua waridi, simu, mioyo yenye muundo wa muonekano wa pande tatu. Alama ya msichana akiwa na lipstick nyekundu inashawishi sana, kwa sababu ni alama ya jokeri ya gemu hii.

Alama ya wild inabadilisha alama zote za kawaida isipokuwa zile za scatter. Kitufe cha bonasi cha Starlite ni nini?

Unapopokea alama tatu za scatter ambazo zinasema kuwa bonasi na alama ya mwanzoni mwa picha husika katika muvi ni mlolongo mmoja, mitatu na mitano, utawasha kitufe cha bonasi Starlite! Hii ni gemu ambayo ina hatua nyingi ikiwa na hatua tano za bonasi ambazo zinaweza kukufanya uendelee kushinda kila hatua na kuongeza thamani ya ushindi ama kuchukua zawadi moja na kuacha gemu ya bonasi.

La Rouge – shinda bonasi ya mizunguko ya bure!

https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/micro-gaming/laRougeDesktop

Kwa hakika, sloti ya video ya La Rouge pia ina kitufe cha mizunguko ya bure mtandaoni kwa njia ya bonasi! Namna gani unakiwasha kitufe cha bonasi ya mizunguko ya bure?

Unapokuwa umepata alama za upelelezi za scatter zipatazo tatu au zaidi utazindua mzunguko wa bonasi ya mizunguko ya bure! Alama tatu za scatter zitawasha bonasi ya mizunguko ya bure, alama nne zitawasha bonasi ya mizunguko kumi na mbili ya bure, na alam tano za scatter zitawasha bonasi ya mizunguko ishirini ya bure.

Ili kutambua zawadi ya kizidisho ndani ya mizunguko ya bure, unahitajika kucheza gemu ndogo ya Mini Theater. Raha nyingine na inayookoa gharama, hii sloti ina kitufe cha kubashiri: dice ikirushwa unachagua ni rangi nyekundu ama nyeusi ya nyota ambayo itafanya ushindi wako uwe ni mara mbili yake.

Bonasi za Kasino Mtandaoni

Kwa wapenzi na mashabiki wa muvi zenye dhamira kadha wa kadha, sloti ya La Rouge ni kitu sahihi kabisa kwako, na vionjo vingi vya bonasi vinakupeleka wewe kwenye utajiri halisi. Tumia muda wako ukiwa katika klabu ya jazi pamoja na mpelelezi wa kujitegemea na msichana mrembo wa muvi.

Kwa haraka ni kuwa uhakika (RTP) wa gemu hii kubwa ni kama 96%. Unaweza kuona maelezo mengine ya gemu za kasino kupitia hapa.

13 Replies to “La Rouge – utamu wa Hollywood unakupa bonasi!”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *