Tunakupeleka katika ulimwengu wa viumbe waitwao dinosaurs!
Jurassic World ni toleo jipya la kutoka Microgaming likiwa na dhamira kutoka katika muvi za kutunga na za ukweli, ambapo historia za zamani za viumbe hao wa dinosaurs. Kupitia sloti hii ya mtandaoni utakuwa na nafasi ya kutembelea mbuga za enzi za Jurassic na kuingia katika bonde la Girossphere, Creation Lab na kuona Reptor Den.

Ikiwa imewekwa katika sehemu ya Isla Nuublar, Jurassic World ina muonekano wa kawaida ikiwa na milolongo mitano katika mistari mitatu, mistari 243 na vionjo vingine vya ziada vinne tofauti. Alama za malipo ya juu ni: Owen Brady, Vic Hoskins, Claire Dearing na Simon Masrani. Alama za malipo ya chini ni dinosaurs sita: Velociraptor, Pteranodon, Stegosaurus, Ankylosaurus, Tyrannosaurus na Indominus.
Nembo ya Jurassic World ni jokeri na inachukua nafasi ya alama zote isipokuwa zile za scatter, ambapo kunakuwa na gemu za bure na inaweza kuanzisha uwepo wa jokeri ambapo zinatokea kwa pamoja.
Jurassic Word, Bonasi ya Kasino Mtandaoni, Micrograming
Jurassic Word

Vidokezo vinne vya tofauti vinatoa nafasi nyingi za kushinda ambavyo ni: Indominus, Girossphere Valley, Creation Lab na Reptor Den.
Kitufe cha Indominus kinawashwa bila ya mpangilio katika gemu kuu na inatoa uwezekano wa kushinda mpaka mikeka 1,000. Vile vingine vitatu vinawashwa kupitia gemu ya bure. Scatters tatu au zaidi zinawasha gemu ya bure, ambapo, kiukweli ni kuwa inatoa vingine vitatu au sehemu tofauti. Kwa mwanzo unakuwa katika sehemu tofauti tofauti, lakini ukimudu kukianzisha angalau mara kumi na tano, basi unaweza kuchagua eneo unalotaka wewe mwenyewe.

Jurassic World - Online Slot

Jurassic World – zidisha ushindi wako!

Girossphere Valley – gemu kumi za bure na vizidisho vilivyopo. Kizidisho kinaanzisha katika nyakati mbili na inaongezeka kwa moja na kila mzunguko ambao haushindi. Kitufe hiki ni lazima kiishe kwa ushindi. Hivyo, unapotumia nafasi iliyopo ya gemu zote za bure, kitufe hiki kitaendelea mpaka kwenye mzunguko wa ushindi.
Creation Lab – gemu kumi za bure zikiwa na kitufe cha Rolling Reals. Pale muunganiko wa ushindi unapotengenezwa, alama ya ushindi itapotea na nafasi yake itachukuliwa na alama mpya. Hivyo unaweza kutengeneza pesa nyingi zaidi katika mzunguko mmoja. Pia, hapa unaweza kupata Crio Wilds ambaye anatokea na kuganda katika sehemu moja kwa ushindi wa mara nne mfululizo.
Reptor Den – gemu kumi za bure na wild scatters. Kila scatter ambayo inatokea itabadilika kuwa jokeri na kubakia kwenye kisehemu kile mpaka pale kitufe kikikamilika au mpaka unapopata gemu tano za ziada.

Vitufe vinne tofauti vinavyofurahisha ambavyo vinakuja na ushindi mkubwa, vizidisho, jokeri walioganda, jokeri waliobanana, gemu za bure za ziada na wengineo, wanaifanya Jurassic World iwe inapendeza kuicheza.

Maelezo ya sloti za video zinginezo yanaweza kupatikana hapa.

6 Replies to “Jurassic World – karibu katika Jurassic Park maarufu!”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Kasino Bora
5.0 rating
Meridianbet Casino: Pata mizunguko 50 BURE + Bonasi 5% ya Muamala Ulioweka