Bahari pamoja na wanyama ambao wamo ndani yake huwa wanapendezesha sana macho, hii ni kawaida yao siku zote. Wazo la mambo ya ulimwengu wa maji ni kitu ambacho kimeleta haja ya kuwepo kwa sloti ya video mpya ambayo inakuja kwetu ikitoka kwa watengenezaji wa gemu waitwao Microgaming. Fish Party ni gemu ambayo inafundisha kitu kuhusiana na maisha ndani ya bahari na inazo alama zilizotengenezwa vyema sana kwa uzuri mkubwa ambazo zina muziki mtamu na vionjo vya sauti. Sloti hii ya video ina milolongo mitano na mistari 243 ya malipo. Kwa upande wa nyuma kuna mwangaza wa jumba la samaki. Rekebisha kiwango chako cha pesa na uingie katika uhondo mkubwa wa kwenye maji!

Fish Party Slot MicroGaming Tanzania

Fish party, bonasi za kasino mtandaoni, mizunguko ya bure mtandaoni

Washa kitufe cha mizunguko ya bure mtandaoni!

Alama yenye jina la gemu ni alama ya wild ya gemu hii. Inaweza kuchukua nafasi ya alama zote isipokuwa zile za scatter. Scatter ya gemu hii ni fuvu la konokono, ikiwa na scatter iliyosambaa kwenye hilo fuvu,. Wakati alama tatu, nne au tano za scatter zinaangukia popote pale kwenye mlolongo wako, unapata mizunguko ya bure ipatayo kumi au ishirini ya mtandaoni. Mizunguko ya bure inaweza kuwashwa tena endapo alama tatu au zaidi za scatter zitajitokeza tena wakati wa ufanyaji kazi huo.
With the Fish Party, ingia kwenye rundo la hazina!

Rundo la hazina, samaki za rangi za bluu, njano na zambarau ni alama ambazo zinatanuka, na yoyote kati ya hizo inaweza kutanuka kupitia kwenye mlolongo wa tatu. Kwa hakika, zinaweza kusambaa pale tu wakati wa chaguo la mizunguko ya bure mtandaoni, na hivyo inaongeza nafasi ya ushindi kwa mteja.
Fish Party, bonasi ya kasino mtandaoni, mizunguko ya bure mtandaoni
bonasi ya kasino mtandaoni

Gemu hii ina raha sana na inaburudisha mno, ina sauti za namna yake, alama zinazopendeza, na mizunguko mingi sana ya bure mtandaoni. Uhakika (RTP) wa sloti hii ya video unakaribiana sana na 96%. Gemu ina chaguo la kujichezesha yenyewe. Endapo ukichoka kuichezesha wewe mwenyewe, basi unaweza kuweka ikajichezesha yenyewe.

Hamna muda wa kupoteza hapo, pumua hewa yako na uzame kwenye utamu huu wa ajabu! Endapo unapenda maji yenye rangi basi umekuja sehemu sahihi. Gemu hii ni nzuri sana kwa ajili yako. Ceza gemu hii inayoburudisha, na uogelee ukiwa nasi kuelekea kwenye maajabu ya ulimwengu wa maji. Furahia na uondoke na ushindi mkubwa sana. Kila la heri!

Maelezo kidogo ya gemu hii ya kasino ya mtandaoni yanapatikana hapa.

Kasino Bora
5.0 rating
Meridianbet Casino: Pata mizunguko 50 BURE + Bonasi 5% ya Muamala Ulioweka