Wapenzi wa starehe, gemu sahihi kwenu inawajia sasa. Deco Diamonds, gemu mpya ya dhamira ya matunda, ina milolongo mitano na mistari tisa ya malipo. Sloti ya video inakuja kwetu kutoka kwa mzalishaji aitwaye Microgaming, akishirikiana na studio ya “Just for the win” (Ni kushinda tu). Ni gemu inayofanana sana na mashine bomba za sloti. Muonekano ni mzuri sana, kuna muziki bomba unaosikika kwa nyuma wakati unacheza gemu. Muundo wake ni rahisi, lakini umetengenezwa vyema kabisa, umetoka katika toleo gumu la Art Deco. Gemu hii inaunganisha alama nzuri sana za matunda zikiwa na dhahabu za starehe pamoja na muziki wa jazi.

Deco Diamonds Online Slot

Deco Diamonds, bonasi ya kasino mtandaoni

Gemu hii ina alama mbili za wild, ya kwanza ni nembo ya Deco Diamonds na ya pili ni alama ya Wild Diamond. Majokeri wote wanaweza kutengeneza muunganiko wa ushindi na kubadilika. Endapo una alama mbili, tatu au nne, utazawadiwa mizunguko ya ziada. Endapo ukishinda alama ya Deco Diamonds tena katika mizunguko ya ziada, utazawadiwa mizunguko ya ziada. Kukiwa hakuna alama za ziada au alama ambazo zinaijaza sehemu ya milolongo, gemu itaisha, au gurudumu la hazina ya bonasi litaanza kuzunguka.
Shinda mpaka zaidi ya mara 1,000 ukiwa na Deco Diamonds!

Gurudumu la Hazina ya Bonasi litafunguka wakati unapokea alama tatu au zaidi za Deco Diamonds. Kuna aina tatu za magurudumu: gurudumu la silva, dhahabu, almasi. Inategemea ni alama ngapi umezikusanya, moja, mbili au tatu zinafunguka. Gurudumu la silva linaweza kuweka kizidisho cha: x5, x8, x18, x58 au x80. Guurdumu la dhahabu linaweza kuwekewa kizidisho cha x8, x18, x58, x98 au x588. Gurudumu la dhahabu linakupa zawadi ya x18, x58, x98, x588 au x1.000.

Pia, kuna chaguo la gemu iwe inajichezesha yenyewe. Endapo ukichoka kuichezesha wewe mwenyewe basi unaweza kukiwasha kitufe hicho na kuiacha iwe inajichezesha yenyewe huku umepumzika.

Hii inaweza isiwe ni gemu yenye dhamira ya matunda unazoweza kuzicheza, lakini ni wazi kuwa utapata sloti ya aina ambayo miti ya matunda na madini yameunganishwa vyema sana. Endapo unapenda michezo inayokupa hela zaidi, gemu hii ni sahihi kwako wewe, kwa sababu inakupa nafasi kibao za kutengeneza pesa nyingi. Sloti hii inakupa uwezekano mkubwa wa kushinda mpaka ifikie mara x1,000 ukihusisha na dau lako unaloweka. Washa gurudumu la hazina na ufurahie! Tunakuahidi kuwa utafurahia sana!

Maelezo mafupi ya gemu ya kasino mtandaoni yanaweza kupatikana hapa.

6 Replies to “Deco Diamonds, zungusha gurudumu la hazina na ufurahie starehe!”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Kasino Bora
5.0 rating
Meridianbet Casino: Pata mizunguko 50 BURE + Bonasi 5% ya Muamala Ulioweka