Dhamira ya sloti hii ni kama ambavyo kichwa chake kinasema, kuvamia kasino. Alama zote katika gemu ikiwa inajumuisha zile za kawaida na za gemu za bonasi zinazohusiana na kasino yenyewe. Gemu inajumuisha mistari 25 ya malipo na alama za kawaida, pia kuna alama za wild ambazo zinabadili alama yoyote, isipokuwa ile ya scatter, vile vile zile scatters zenyewe ambazo zinakupatia gemu ya bonasi.

Baadhi ya alama za gemu hii ni alama bomba sana K, Q, A na J, funguo ya dhahabu, pesa, silaha, dice, msichana, mvulana na kifaa cha croupier. Alama ya scatter ni gurudumu la ruleti lililo na alama ya “Scatter”, na alama ya jokeri yaani ile wild ambayo ni nembo ya sloti ya Casino Heist.

Casino Heist, Gemu za Mb, Expanse, Bonasi za Kasino Mtandaoni

Casino Heist, Gemu za Mb

Casino Heist, Gemu za Mb

Gemu mbili za bonasi za sloti ya Casino Heist ambayo inashindaniwa wakati mmoja! Ni kawaida kwa gemu nyingi za sloti kuwa na gemu ya bonasi. Hata hivyo, kinachoifanya hii Casino Heist iwe ya kipekee ni kwamba ina gemu mbili za bonasi.

Gemu ya kwanza ya bonasi inajumuisha mizunguko kumi ya bure wakati ambao kila ushindi wa kawaida ni mara mbili kwa ukubwa! Gemu nyingine ya bonasi ni uvamizi wa sefu ya kasino. Kwa kubonyeza kitufe, mteja anakuwa anamfikia mlinzi wakati akiwa amefikia mafanikio mara tano, ili aende katika hatua inayofuata. Ngazi ya pili ni ile inayokupatia ufunguzi wa sefu ya benki, ambayo inatakiwa kulipuliwa ili kufikia ngazi ya tatu.

Katika ngazi ya tatu mteja anakamata fedha taslimu zote zilizopo katika sefu ile ile.

Hatua ya 3 – mvamizi anakusanya pesa.

Money Heist, Gemu za Mb, Expanse, Bonasi za Kasino Mtandaoni

Money Heist, Gemu za Mb, Expanse, Bonasi za Kasino Mtandaoni

Hatua ya 3 – mvamizi anakusanya pesa.

Inafurahisha, inawezekana kabisa kupata gemu zote za bonasi kwa wakati mmoja! Endapo jambo hili likitokea mteja anacheza kwa mara ya kwanza gemu ya bonasi ya Casino Heist na kisha mizunguko ya bure. Alama zote, vile vile mazingira ya gemu yenyewe, yanabadilika badilika, hivyo mteja anakuwa na urahisi na wepesi wa kupata mafanikio ambayo yapo katika kasino halisi, anazungukwa na mashine mbalimbali za sloti.

Pia, sauti inachangia mazingira ya utulivu wakati wa gemu, pale ambapo kila mzunguko unakuwa na hisia ambazo unaziweka katika mdundo bomba wa kasino. Machaguo ya ziada yanayoletwa na sloti yanakuruhusu kuwa na uelewa mzuri wa gemu husika, taarifa za muhimu kuhusu hili, lakini pia maelezo ya historia ya gemu na kila kitu cha kuhusu kila mzunguko uliopo.

Kuangalia gemu maarufu zingine unatakiwa kubonyeza hapa.

23 Replies to “Casino Heist – sloti ambayo inakupa gemu mbili za bonasi!”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *