Sloti mpya ya video itawabamba sana wapenzi wa mambo ya kutisha sana! Blood Moon Express inatoka kwa watengeneza gemu waitwao Kalamba Games, itakupeleka kwa mashetani na watu wenye mambo ya kutisha na kutisha sana!

Sloti hii ya video ina uwezekano mkubwa wa ushindi, ambao, kupitia mishe mishe mbalimbali inakupa wewe ushindi mkubwa mpaka kufikia mara 1,000 zaidi ya dau unaloweka wewe. Jokeri wakiwa na vizidisho tofauti tofauti, mwanzo wa mizunguko ya bure, scatters na mengine mengi zaidi yanayoleta burudani na hofu yanakungoja wewe katika sloti hii, endapo ukichagua gemu hii kubwa!

Blood Moon Express inakupa mara 1,000 zaidi!

#Blood moon express #sloti ya kutisha #bonasi za kasino mtandaoni

Blood Moon Express

Blood Moon Express

Sloti hii ya video ina milolongo sita na mistari 60 ya malipo. Mistari ya malipo inaonesha ushindi kwa dau na kuwapa fursa jokeri kushinda alama zingine zote. Endapo jokeri sita wanatokea katika mistari ya malipo inayokuwepo pale basi watakupatia wewe faida kubwa sana ya mara 1,000 ya dau lako.

Njia nyingine unayoweza kushinda ni kwa alama ya scatter. Scatter ya hii gemu ipo katika muundo wa alama ya bonasi. Kukiwa na alama tatu, nne, tano au sita za scatter mshindi mwenye bahati atashinda alama 360, 480, 600 au 720 ambazo pia zinachagiza mizunguko ya bure mtandoani.

Katika kila mzunguko, inawezekana kuendesha jokeri bila ya mpangilio kwa kitufe cha kizidisho chake. Kwa kuongezea ni kwamba kila jokeri ana kizidisho ambacho kinazidisha matokeo yanayofikiwa pale mara moja, mbili, tatu au tano. Wakati wa kucheza mishe mishe hizo unaweza kuchagua ile mpya au kutumia iliyopo ili uendelee katika hatua tofauti inayofuatia na kukusanya vizidisho vya ziada. Vinakulipa mpaka mara 100, 200, 400 au 1,000 kiwango cha aina ya bronze, silva, dhahabu au platinum, kutegemeana na dau lako unaloweka.

Wakati scatters tatu hadi sita zinatokea katika milolongo, kitufe cha mizunguko ya bure mtandaoni kinaanza kuchezeshwa. Wakati wa mizunguko hii ya bure, kuwa makini na ukusanyaji wa alama, ambazo ni mwezi mwekundu na fuvu. Kusanya alama hizo tatu wakati wa mizunguko ya bure na utapata mingine miwili ya ziada. Endapo ukikusanya sita ya alama za aina hiyo katika mizunguko ya bure iliyosalia mtandaoni basi utapokea mizunguko miwili ya ziada. Kila alama tatu baada ya hiyo itakupa wewe mizunguko ya bure miwili ya ziada.

Yote kwa yote, gemu hii ina kitufe cha bonasi ya kufurahisha. Muonekano wa picha ni mzuri sana. Endapo wewe ni mpenzi wa mambo ya kutisha basi hakika utaipenda sana hii gemu. Karibu katika mitaa yenye mambo ya kutisha na kutisha sana!

Unaweza kuona maelezo ya kifupi kuhusu sloti zingine za video hapa.

2 Replies to “Blood Moon Express – karibu katika mitaa ya mambo ya kuogofya!”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *