Siku zote mashabiki wa Baccarat wanajua kwamba ile American Baccarat inawapendeza sana katika toleo la gemu hii. Ikiwa imetoka kwa watengenezaji gemu waitwao Habanero, tunapokea toleo maalum, likiwa na vitufe maalum vya kutosha – American Baccarat. Umaalum wa gemu hii, na tofauti kubwa inalinganishwa na aina nyingine ya baccarat, ni kwamba inaruhusu kuicheza katika nafasi tatu mezani wakati huo huo.

American Baccarat inachezwa kwa kikasha cha kawaida chenye karata 52. Lengo la gemu hii ni kukisia nani ambaye atakuwa karibu na namba tisa: wateja ama wale watu wa benki. Kwa hakika, unaweza pia kubetia katika thamani inayokuwepo kwa wateja ama kwa watu wa benki ambayo itakuwa sawa.

Mwanzoni mwa gemu hii mteja na mtu wa benki anakuwa anapokea karata mbili kila mmoja wao.

American Baccarat, bonasi ya kasino mtandaoni

American Baccarat, bonasi ya kasino mtandaoni

Thamani za karata zinakuwa kama ifuatavyo:

Ile A ina thamani ya alama moja. Picha katika karata inakuwa na alama 0. Karata zingine zinachukua thamani zake kama kawaida.

Endapo thamani ya karata inakuwa ni kubwa kuliko kumi, basi namba kumi itatolewa kwa jumla ya thamani zilizopo mkononi. Endapo jumla ya karata katika mkono wa mteja inakuwa ni tano au chini yake basi anatoa karata ya tatu. Mtu wa benki atapokea ya tatu kutegemeana na thamani ya mkononi mwa mteja na thamani ya kwake mwenyewe.

Kwanza kabisa, unakuwa umeweka mpangilio wa gemu yako. Katika kila mkeka ambao unabetia unakuwa na sehemu tatu za kusetia mkeka wako. Wakati huo huo unaweza kucheza na mteja pamoja na mtu wa benki lakini pia katika sare. American Baccarat – shinda mara tisa zaidi! Endapo unaweka mkeka wako kwa mteja odds zake zinakuwa ni mbili. Odds kwa mtu wa benki ni ndogo na inakuwa kama ni 1.95 (kutokana na kamisheni ya 5%) wakati odds za kwenye sare ni 9. Baadhi ya mikeka ya baccarat itakupatia wewe sare yenye odds na 10, lakini chache sana miongoni mwa hizi gemu huwa zinakuruhusu wewe kucheza katika sehemu zaidi ya moja kwa wakati mmoja kama ambavyo hii American Baccarat inakupa ruhussa hiyo!

Kwa makadirio ni kuwa uhakika (RTP) kwa mtu wa benki ni 98.94%, uhakika kwa mikeka ya mteja ni 98.76% wakati RTP kwa idadi shufwa ya namba ni 85.64%. katika machaguo unaweza kuona kwamba kuna muonekano wa kawaida wa mizunguko kumi ya kwanza, na vile vile kuna ramani ya barabara ambayo inaweza kukuonesha wewe angalau mizunguko 50 ya nyuma. Gemu hii inafaa kwa aina zote za wateja, wale wanaoanza hekaheka na wale ambao wanajua kuicheza vyema zaidi.

Uwezo wa kuicheza katika nafasi tatu kwa wakati mmoja ni hakika kuwa itakuvutia sana na kukupatia wewe burudani ya uhakika sana. Furahia na kila la heri!

Maelezo ya kifupi ya gemu zingine za kasino yapo hapa.

17 Replies to “American Baccarat – raha iwe ni mara tatu kama vile uko Amerika!”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *