Alama za Mashine za Sloti: Alama za Kawaida, Scatter na Wild

Kwa sasa karibia kila wiki kuna sloti mpya zinazozinduliwa duniani, zimekuwa bora zaidi na vionjo vipya ambavyo vingine ni vigumu kuvimudu kwa wepesi na vimeboreshwa zaidi ambapo vinatuwezesha baadhi yetu kufurahia sana gemu. Ingawa sloti zinazidi kuwa bora kila siku ipitayo lakini bado vyanzo vake vimekuwa ni vile vile hasa katika alama zinazotumika ambapo zinaturahisishia kazi sisi na hata wale wageni wa sekta hii linapokuja suala la kutambua namna mashine za sloti zinavyofanya kazi.

Hata hivyo, ni muhimu sana kuelewa aina hizi mbalimbali za mashine za sloti na vionjo vyake vilivyopo, katika makala hii tutaenda kuangalia aina mbalimbali za alama ambazo unaweza kukutana nazo. Yote kwa yote ni kwamba wote tunafurahia sana vile vinavyotokea wakati aina fulani ya alama inazunguka, au siyo? Basi wacha tuangalie zaidi mambo haya!

Ni mashine gani ya sloti ambayo ni ya zamani sana?

Linapokuja suala la alama za mashine za sloti ya zamani zaidi, mara nyingi imekuwa ikishindwa kuziacha pembeni alama za kadi katika mipangilio mitatu – spedi, moyo na dhahabu – hasa hasa kutoka kwenye kadi 10 mpaka kwenye ile Ace: kumi (10), Jack (J), Queen (Q), King (K), pamoja na Ace (A). sasa, ukiachana na hizi alama ambazo zinalipa sana, mara nyingi utakutana na namba saba ya bahati katika milolongo husika, hilo tutaliongelea baadaye kidogo.

Kisha, kuna zile alama za bahati za kizamani zaidi – kiatu cha farasi ambapo ni moja ya alama za kizamani sana ambayo ilihusishwa na masuala ya nguvu za giza, hasa inapokuja suala la kucheza sloti za mtandaoni. Pia kuna, Liberty Bell, kwa hakika, endapo unakuwa miongoni mwa wachezaji ambao wanajitegemea kwa kila kitu, utajua ya kwamba jina la sloti ya kwanza lilikuwa ni Liberty Bell, hivyo huenda hii ni sababu mojawapo ya alama za kijani za muda wote ambazo hutokea sana katka mashine za sloti.

Alama za mashine za matunda, alama ya ubao, namba 7 na bigijii

Kujua kwamba kuna mamilioni ya aina mbalimbali za sloti kunatufanya tuwe na vionjo kibao tunavyovifahamu vinavyokuwa katika mlolongo wa aina moja na tofauti na vinaweza kuwa zaidi ama pungufu katika mlolongo mmoja unaotajwa. Kwa mfano, mara nyingi utaona kwamba alama za mashine za matunda kama vile matunda aina ya cherries, limao, machungwa, tikitimaji na matunda aina ya tufaa yanatokea katika mashine ya sloti ya milolongo mitatu, bila ya kujalisha ni sloti gani unaichagua kuicheza. Baadhi ya vyanzo vinasema kwamaba Industry Novelty Company, inayoendeshwa na O.D Jennings, walikuwa ndiyo wa kwanza kutumia alama za matunda.

Kuna alama ngapi kwenye mlolongo wa mashine ya sloti?

Kwa sasa huenda ukawa unajiuliza ni alama ngapi zinakaa kwenye mlolongo wa mashne ya sloti. Kukiwa na milolongo bomba mitatu katika mashine za sloti, ni rahisi – kawaida ni alama 20 katika kila mlolongo mmoja, ambapo inamaanisha kwamba kuna jumla ya alama 60 yaani (20x20x20), hii ina maana kwaba kuna miunganiko zaidi ya 8000 ambayo unaweza kuifunga katika jakpoti.

Kwa sasa karibia kila wiki kuna sloti mpya zinazozinduliwa duniani, zimekuwa bora zaidi na vionjo vipya ambavyo vingine ni vigumu kuvimudu kwa wepesi na vimeboreshwa zaidi ambapo vinatuwezesha baadhi yetu kufurahia sana gemu. Ingawa sloti zinazidi kuwa bora kila siku ipitayo lakini bado vyanzo vake vimekuwa ni vile vile hasa katika alama zinazotumika ambapo zinaturahisishia kazi sisi na hata wale wageni wa sekta hii linapokuja suala la kutambua namna mashine za sloti zinavyofanya kazi.

Mambo ni magumu kwa kiasi fulani linapokuja suala la gemu za kisasa za mtandaoni. Mlolongo hauendani na odds zako za ushindi. Badala yake ni muunganiko wa vile ambavyo vimepangiliwa ndani ya mashine husika.

Aina za sloti za mashine

Tunaelewa kwamba kuna aina nyingi za alama za sloti, lakini kuna aina tofauti za alama za sloti, tatu kuu ni – kawaida, wild pamoja na scatter. Ni muhimu sana kujua tofauti kati yake kwa sababu kuangukia katika muunganiko fulani wa alama hizo za sloti (zikiunganishwa na alama za kawaida) zinaweza kusababisha kuanzishwa kwa vionjo tofauti ambavyo vitaongeza malipo yako, kila mara inapotokea hivyo.

Alama za kawaida

Sasa, kinachozitofautisha alama za kawaida ni kwamba hazina kazi yoyote maalum lakini zinalipa kiasi fulani cha pesa wakati zinatokea katika mstari mmoja, katika mstari wa malipo unaokuwepo. Kwa maneno mengine ni kuwa, endapo ukiweza kupata alama tatu au zaidi znazoendana nazo, basi utashinda muunganiko na kupokea zawadi zilizopo katika muunganiko huo, endapo umekuwa ukijiuliza ni alama gani maalum ambayo inatokea mara kwa mara kwenye mashine ya sloti mtandaoni (au hata zile za madukani), basi kaa hapa hapa ili ujue mambo mengi zaidi.

Alama za wild

Sawa, alama za wild ni moja ya alama muhimu sana, zinakuwa na kazi kama ya mbadala wa alama zingine zozote katika sloti. Ni kama vile Jokeri anavyofanya kazi. Hivyo, mara tunapozipata katika mlolongo zitakuwa zikifanya kazi kama mbadala wa alama yoyote, ukiondoa zile alama za scatter na za bonasi, kwa sababu kadi ya wild haiwezi kuwa mbadala wa zinginezo hizo mbili.

Kwa sasa karibia kila wiki kuna sloti mpya zinazozinduliwa duniani, zimekuwa bora zaidi na vionjo vipya ambavyo vingine ni vigumu kuvimudu kwa wepesi na vimeboreshwa zaidi ambapo vinatuwezesha baadhi yetu kufurahia sana gemu. Ingawa sloti zinazidi kuwa bora kila siku ipitayo lakini bado vyanzo vake vimekuwa ni vile vile hasa katika alama zinazotumika ambapo zinaturahisishia kazi sisi na hata wale wageni wa sekta hii linapokuja suala la kutambua namna mashine za sloti zinavyofanya kazi.

Hata hivyo, kuna aina maalum ya alama za wild ambazo inajumisha Expanding Wilds, Sticky Wilds, Stacked Wilds, Walking Wilds, Shifting Wilds na Transferring Wilds.

Alama za scatter

Moja ya mambo tunayoyapenda – alama za scatter – ni za kipekee sana hasa ukiangalia kazi zake za msingi kabisa ni kuiwasha ile Mizunguko ya Bure au kitufe cha Gemu ya Bonasi, kila mara unapoangukia katika idadi inayohitajika ya scatters katika mstari wa malipo unaokuwa unafanya kazi. Kwa kawaida, idadi fulani ya scatters ni lazima itatokea katika mzunguko mmoja ili kufungua kitufe cha burudani. Katika baadhi ya sloti, kitufe hiki kitahitaji kupata scatters 3 au zaidi wakati zingine zinahitaji scatters 2 pekee.

Kwa namna yoyote ile utagundua kuwa zitaanzisha na kuwasha sehemu ya Mizunguko ya Bure.

Umepata mwanga kiasi fulani? Endelea kuangalia hapa kwa mengine mengi zaidi.

One Reply to “Alama za Mashine za Sloti: Alama za Kawaida, Scatter na Wild”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *