

Wish Upon a Star ni sloti ya mtandaoni kutoka kwa Greentube, ambayo inasambaa wakati wa sikukuu mpaka katika misimu yote ya mwaka, inakupa gemu za bure na jokeri waliopo pamoja nayo. Wateja wanakusanya jokeri hawa ili wapate bonasi na jakpoti nyingi zilizopo, na ni hakika kuwa kuna sabbau ya kusherehekea. Alama nyingi za bahati zinakuwepo jirani kabisa katika milolongo hiyo, kukiwa na bahati kidogo, pia zile ni tiketi za ushindi mkubwa. Sloti ina milolongo mitano na miunganiko 243 kwa ajili ya ushindi.
Alama ya bonasi ni zawadi, ambayo ni alama ya jokeri, na alama ya bonasi ni scatter. Sloti inakupatia uwezekano wa kubashiri kwa kubonyeza kitufe cha kubetia.
Wish Upon a Star, Bonasi ya Kasino Mtandaoni, Bashiri
Wish Upon a Star, Greentube
Vionjo vya sloti: Gemu za bure – alama tatu au zaidi za scatter zinakupa gemu za bure wakati zinatokea katika mlolongo mmoja, mitatu na mitano, zikikupa wewe mizunguko kumi ya bure. Gemu zaidi za bure zinaweza kushindaniwa wakati kitufe hiki kikiwa kimewashwa. Jokeri waliounganika pale wanakupatia zawadi ya bonasi.
Seti ya alama za wild katika milolongo miwili na minne inafanya kitufe cha Pick & Click kiwe hai kikiwa na zawadi tatu, kutoka katika zile ambazo mteja anaweza kuzichagua kuzicheza. Alama ya jokeri inakuwa imejazwa na milolongo miwili na minne na inaruhusu mteja kuchagua anayotaka kati ya zawadi mbili kati ya zile zawadi sita zilizopo kwa ujumla. Zawadi zinajumuisha pesa taslimu, jakpoti na mizunguko kumi ya bure.
Jakpoti za Wish Upon a Star Wish Upon a Star, Bonasi ya Kasino Mtandaoni, Sloti, Bashiri
Mini Jackpot
Jakpoti za Wish Upon a Star: Scatter sita au zaidi zinawasha kitufe cha kionjo cha jakpoti. Alama ya bonasi ambayo inawasha kitufe hiki inabakia kufungiwa katika mizunguko mitatu ya bonasi.
Alama mpya za bonasi ambazo zinatokea wakati wa mizunguko ya bonasi zitajifunga pia na kurudisha tena pale kilipokuwa kitufe cha mzunguko wa bonasi mpaka kufikia tatu. Endapo mwishoni mwa kitufe hicho ile seti yote ya mlolongo inazingirwa na alama za scatter za bonasi, basi mteja atakuwa na ushindi wa Jakpoti Kubwa Kabisa!
Endapo bado kunakuwa na nafasi ambazo kunakuwa na alama ya bonasi isiyoonekana basi kila bonasi inayoonekana inakuwa na zawadi ya kujitegemea yenyewe. Jakpoti aina ya: Mini, Minor, Maxi au Major au ukubwa wa mara 15 wa dau la mteja.
Maelezo ya jumla ya gemu zingine za jakpoti yanaweza kupatikana hapa.
Hii Jackpot lazima niipate 🤸🏻♂️🤸🏻♂️
Hot game