Jack na Rosie

Full Moon Romance | Tamasha la Mapenzi na Msisimko Kati ya Jack na Rosie

Ikiwa wewe ni shabiki wa hadithi za mapenzi zenye mwelekeo wa kichawi kama vile Twilight Saga, basi mchezo wa sloti wa Full Moon Romance ni burudani ambayo hupaswi kuikosa. Huu ni mchezo unaosimulia hadithi ya mapenzi ya Jack na Rosie, wapenzi wa ujana wanaogeuka kuwa mbwamwitu wakati wa mwezi mpevu.

Sloti hii inaleta mchanganyiko wa hadithi ya kimapenzi na michezo ya msisimko, ikiwa na mizunguko ya bure, bonasi za kloni, na mandhari ya kuvutia ambayo yatakufanya ufurahie zaidi.

Jack na Rosie
Full Moon Romance

Uchambuzi wa mchezo huu umegawanywa katika sehemu zifuatazo:

  • Taarifa za Msingi
  • Alama za Slot za Full Moon Romance
  •  Michezo ya Bonasi
  • Mandhari na Sauti

Taarifa za Msingi

Full Moon Romance ni mchezo wa sloti wenye Reeli tano zilizopangwa kwa safu tatu yenye mistari 15 isiyobadilika ya malipo Ili kushinda, lazima ulinganishe angalau alama mbili au tatu kwenye mstari wa malipo.

Ushindi wowote unahesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia, ukianza kwenye kolamu ya kwanza kushoto.

Ushindi mmoja kwa kila mstari wa malipo. Ikiwa mchanganyiko zaidi ya mmoja upo kwenye mstari mmoja wa malipo, thamani ya juu zaidi ndiyo italipwa.

Ushindi wa jumla unawezekana ikiwa utapata ushindi kwenye zaidi ya mstari mmoja wa malipo kwa mara moja.

Ndani ya eneo la Cash field Utaona kiasi cha fedha kilichobakia kwenye akaunti ya mtumiaji muda wowote. Chini kwenye kona ya kulia kuna batani ya kuzungusha  ambayo unaweza kuanzisha mchezo.

Kwa kubonyeza batani ya picha ya chip, Menyu itafunguka na kukuwezesha kuona thamani ya kila bashiri kwa mzunguko.

Alama za Slot za Full Moon Romance

Alama zenye Thamani ya Chini kwenye sloti hii ni karata za kawaida J, Q, K,  na A ambazo zinabeba uwezo tofauti tofauti wa malipo, na yenye thamani kubwa ni alama A

Ifuatayo ni alama ya kola ya mbwa ikiwa na maandishi ya “Puppy Love.” Ikiwa utaunganisha alama hizi tano kwenye ushindi, utalipwa mara saba ya dau lako

Jack na Rosie, wapenzi wa hadithi, huleta malipo makubwa zaidi kati ya alama za msingi. Ikiwa alama tano za moja ya wapenzi hawa kwenye mstari wa malipo hulipa mara 15 ya dau lako.

Jack na Rosie,Wanaweza pia kuonekana kama alama zilizopangwa, wakijaza reeli nzima.

Michezo ya Bonasi

Alama ya Wild, inayowakilishwa na kizuizi cha dhahabu kilichoandikwa “Wild”, hubadilisha alama zote isipokuwa alama ya scatter ili kuunda mchanganyiko wa ushindi.
Vipengele vya Bonasi
Bonasi ya Kloni

Jack na Rosie hujitokeza kama alama kubwa zinazoweza kujaza reeli.Alama ya Jack au Rosie kamili inapojitokeza kwenye reeli ya kwanza, Bonasi ya Kloni inawashwa.

 


Alama hii hujizalisha kwenye reeli moja au zaidi, ikiwezekana kujaza safu zote kwa ushindi mkubwa.

Alama ya Scatter, inayowakilishwa na mwezi mpevu, hutoa mizunguko ya bure kulingana na sheria zifuatazo:

  • Alama 3 za Scatter: Zawadi ya mizunguko 10 ya bure
  • Alama 4 za Scatter: Zawadi ya mizunguko 15 ya bure
  • Alama 5 za Scatter: Zawadi ya mizunguko 20 ya bure
Mizunguko ya bure

Wakati wa mizunguko ya bure Jack na Rosie hubadilika na kuwa mbwamwitu wa kike na kiume. Bonasi ya Kloni hubakia kuwa hai.

Wakati wa mizunguko ya bure Jack na Rose wote wanakuwa na alama sawa na wanabadilishana

Picha na Sauti

Reeli za mchezo huu zipo mbele ya kioo kubwa cha sinema, na chini yake kuna  wapenzi wanaotazama filamu kutokea kwenye magari

Nyuma yao kuna mitende na jua linalozama, huku kikiwa na muziki utakaokufanya ujisikie viziri, Picha za mchezo zitabadilika utakapobonyeza mizunguko ya bure

Kila ushindi unaambatana na sauti za kuvutia, kuongeza msisimko wa mchezo.

Furahia mchanganyiko bora wa mapenzi na msisimko—cheza Full Moon Romance sasa!

Post navigation

Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Online Casino Bonuses
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.