Wheels of flame | Mchezo mpya wa sloti | Sloti yenye bonasi za bure | Mizunguko ya bure | Playtech casino slots

Wheels Of Flame | Pata ushindi wa moto Kasino!

Mara nyingine tena, unapata fursa ya kushiriki katika burudani ya kipekee ya kasino ambapo bonasi za kuvutia zinakusubiri. Wakati miali ya moto inapotawala safuwima za mchezo huu, ushindi wa kuvutia unakungoja.

Wheels of Flame ni mchezo wa sloti uliyowasilishwa na mtengenezaji wa michezo ya kasino, Playtech. Mchezo huu unakuletea bonasi kadhaa unazoweza kushinda kupitia gurudumu la bahati. Kuna mizunguko ya bure, zawadi za pesa za papo hapo, wilds nyingi zaidi kwenye safuwima, na bonasi nyingine nyingi.

Sloti ya Wheels of flame ni mchezo wa casino mtandaoni wenye bonasi za kasino nyingi.
Sloti ya Wheels of flame

Pata kujifunza zaidi kuhusu mchezo huu, tunapendekeza usome hakiki ya  sloti ya Wheels of Flame.

  • Sifa za Msingi
  • Alama za Mchezo wa Wheels of Flame
  • Bonasi za Kipekee
  • Picha na Sauti

Sifa za Msingi

Wheels of Flame ni sloti ya mtandaoni yenye safuwima tano zilizopangwa kwa mistari minne, ikiwa na mistari ya malipo 30 isiyobadilika. Ili kushinda, ni muhimu kuunganisha alama mbili au tatu zinazofanana kwenye mstari wa malipo.

Mchanganyiko wote wa ushindi huhesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia safuwima ya kwanza.

Mstari mmoja wa malipo hulipa ushindi mmoja pekee. Ikiwa una mchanganyiko wa ushindi kadhaa kwenye mstari mmoja wa malipo, utalipwa ule wenye thamani ya juu zaidi.

Inawezekana kupata ushindi zaidi ikiwa utaunganisha alama kwenye mistari tofauti ya malipo kwa wakati mmoja.

Ukibonyeza kitufe chenye picha ya sarafu, menyu itafunguka na unaweza kurekebisha thamani ya dau kwa kila mzunguko. Pia, unaweza kuwezesha Turbo Spin Mode kupitia menyu hiyo.

Kuna pia kipengele cha Autoplay, ambacho unaweza kukiwezesha wakati wowote. Kupitia chaguo hili, unaweza kuweka hadi mizunguko 100, au mchezo uendelee hadi bonasi itakapowashwa.

Unaweza pia kurekebisha athari za sauti kwenye kona ya chini ya kulia.

Alama za Sloti ya Wheels of Flame

Tunaanza na alama zenye malipo ya chini zaidi, ambazo ni alama za karata za kawaida: J, Q, K, na A.

Baada ya hapo, utaona pete kadhaa, kila moja ikiwa na thamani tofauti. Yai ni alama inayofuata kwa thamani, na ukipata tano mfululizo utashinda mara 225 ya dau lako kwa sarafu moja.

Mwanamke huleta malipo makubwa zaidi. Ukiunganisha alama tano za mwanamke kwenye mfuatano wa ushindi, utapata mara 300 ya dau lako kwa kila sarafu.

Mkia wa phoenix ni moja ya alama zenye thamani kubwa zaidi ya mchezo, pamoja na alama nyingine. Ukipata alama hizi tano mfululizo, utashinda mara 450 ya dau lako kwa kila sarafu.

Jokeri anawakilishwa na alama ya Wild, ambayo inaweza kubadilisha alama nyingine zote na kusaidia kuunda mchanganyiko wa ushindi.

Wheels of flame | Michezo ya casino | Playtech casino games online
Wild/Jokeri

Jokeri pia huleta malipo sawa na yale ya alama ya phoenix.

Michezo ya Bonasi

Vilevile kila alama inaweza kuonekana ikiwa imejaa moto. Unapopata alama tatu au zaidi za moto kwenye mstari mmoja, utaanzisha gurudumu la bahati. Gurudumu hili lina viwango vitatu na linakuletea aina mbalimbali za bonasi.

Kiwango cha kwanza kinawakilishwa kwa rangi ya kijani, Kiwango cha pili ni cha buluu, na
kiwango cha tatu ni chekundu, na kina zawadi kubwa zaidi.

Sloti ya Wheels of fortune | Bonasi za casino | Playtech slots | Online casino slots
Gurudumu la Bahati

Gurudumu la kijani la bahati linaweza kukupa zawadi mbalimbali kama vile;

  • Mizunguko 5 au 8 ya bure
  • Wilds 4 au 5 kwenye safuwima
  • Zawadi ya pesa mara x15 au mara x30 ya dau lako
  • Nafasi ya kusonga hadi kiwango kinachofuata
Wheels of flame | Mchezo bora wa kasino mtandaoni | Playtech casino games on;ine
Majokeri

Gurudumu la buluu la bahati linaweza kukupa zawadi zifuatazo;

  1. Mizunguko 8 au 12 ya bure
  2. Zawadi ya pesa ya mara x3 au mara x60 ya dau
  3. Wilds 5 au 6 kwenye safuwima
  4. Nafasi ya kusonga mbele hadi kiwango kinachofuata

Gurudumu jekundu la bahati linaweza kukupa zawadi zifuatazo;

  • Mizunguko 12 au 50 ya bure
  • Zawadi ya pesa ya x100 au x500 ya dau
  • Wilds 10 au 12 kwenye safuwima
Wheels of flame | kasino ya mtandaoni | Online casino games | Playtech casino slots online
Mizunguko ya bure

Picha na Sauti

Safuwima za Wheels of Flame zipo kwenye mandhari ya buluu, lakini unapowasha mchezo wa bonasi, mandhari hayo hubadilika na kuwa ya moto.

Sauti za sloti hii ni za kuvutia, na utafurahia kila unapopata ushindi.

Picha za mchezo huu wa casino zimefanya muonekano wake kuwa mzuri na wa kuvutia, na kila alama imewasilishwa kwa uhalisia.

Furahia ushindi wa moto ukiwa na sloti ya Wheels of Flame kwenye casino bora Tanzania.

Post navigation

Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Online Casino Bonuses
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.